Moja ya itikadi zetu ni kurudisha katika jamii kwa namna yotote ile ili kubadilisha mazingira ama kusaidia kuboresha maisha.
Insignia LTD, kupitia chapa yake ya rangi ya Coral paints ikitoa msaada wa rangi na kupaka rangi katika wodi ya watoto ya Tumaini La Maisha katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

GET INTOUCH WITH US

Our supporting team are always ready to help should you have any questions concerning with our products/brands, please feel free to contact us.

TOP