Coral paints kwa kushirikiana na taasisi ya Doris Mollel foundation, imeweka kukarabati wodi ya Watoto njiti katika hospitali ya Sekou Toure, katika kueneza jitihada za kuboresha huduma na mazingira ya kijamii, Insignia limited kama wadau wa kuboresha mazingira ya Jamii, tulipokea wito huu,ili kuhakikisha Mama na Mtoto wanahudumiwa katika mazingira bora Nchini Tanzania.
Pia Kampuni ya Insignia limited, iliweza kugawa mashuka 500 katika hospitali ya Sekou Toure ili kuweza kuendelea kuboresha huduma katika Hospitali hii ya rufaa.

GET INTOUCH WITH US

Our supporting team are always ready to help should you have any questions concerning with our products/brands, please feel free to contact us.

TOP